JINSI YA KUTAMBUA UHALIFU MISITUNI - AFRIKA- Swahili - page 4

4
Ni muhimu kufuatilia mbao katika mfululizo wote wa ugavi ili
kuhakikisha kwamba sheria zinafuatwa katika kila hatua.
KUTOKA MISITUNI HADI
MADUKANI
• Eneo linalomilikiwa
• Eneo linalohifadhiwa
• Viwanda vya upasuaji wa mbao
• Viwanda vya kusindika rojo ya
mbao (kwa mfano vibanzi)
• Viwanda vya karatasi
• Kupitia barabara kwa malori (shehena
zinazoonekana waziwazi)
• Kupitia njia za maji kwa mashua (shehena
zinazoonekana waziwazi)
• Kupitia njia za maji kwa kueleza mbao
USAFIRISHAJI HADI
VIWANDA VYA
UPASUAJI WA MBAO
UVUNAJI
UZALISHAJI
HATUA 1
HATUA 2
HATUA 3
AKG-Images/Scanpix
Ian Redmond
Reuters/Naco Doche/Scanpix
1,2,3 5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,...20
Powered by FlippingBook