JINSI YA KUTAMBUA UHALIFU MISITUNI - AFRIKA- Swahili - page 11

11
Eneo la kilimo karibu na mpaka wa msitu
usiopenyeka wa Bwindi nchini Uganda.
• Misitu iliyoondoshwa kwa ajili ya mazao ya biashara kwa kutumia
vibali batili
• Misitu iliyomo mbuga za kitaifa au maeneo yanayomilikiwa isivyo
halali, inayoondoshwa kwa ajili ya kilimo
UKATAJI MITI HARAMU
!
GUNDUA
Apichat Naweewong/iStock
1...,2,3,4,5,6,7,8,9,10 12,13,14,15,16,17,18,19,20
Powered by FlippingBook