JINSI YA KUTAMBUA UHALIFU MISITUNI - AFRIKA- Swahili - page 15

15
Mfanyikazi apasua mbao zilizokatwa kiharamu.
• Mbao zenye ukubwa wa kupindukia katika viwanda vya kupasua mbao
au katika maeneo mengine ya utengenezaji
• Mbao za spishi zinazohifadhiwa (labda mbao zenye uzito mkubwa)
katika viwanda vya upasuaji mbao au maeneo mengine ya utengenezaji.
• Akiba kubwa sana ya mbao katika viwanda vya upasuaji wa mbao au
maeneo mengine ya utengenezaji
• Kushindwa kuweka kibonyeo katika mbao kwa chombo chenye makali.
Ikiwa ni mbao yenye uzito mkubwa, kuna uwezekano kwamba ni mbao
iliyotoka kwa mti wa zamani wa msitu wa mvua.
MAGOGO HARAMU
!
TAMBUA
Spishi zinazohifadhiwa na kukatwa kwa njia haramu zinaweza kuwepo
katika maghala ya viwanda vya upasuaji wa mbao.
UTENGENEZAJI
Reuters/Naco Doche/Scanpix
1...,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14 16,17,18,19,20
Powered by FlippingBook