JINSI YA KUTAMBUA UHALIFU MISITUNI - AFRIKA- Swahili - page 17

17
Vichwa na mikono ya sokwe vikiuzwa.
Sokwe-mtu wako hatarini
kwa sababu ya kupotea
kwa makao na uwindaji
haramu.
Makambi ya wakataji miti hutegemea“nyama ya porini”kutoka kwa wanyama
walio hatarini kama vile sokwe na sokwe-mtu. Zaidi ya hao, wakataji miti
huenda wakajihusisha na biashara ya pembe za ndovu na vifaru.
UJANGILI WA WANYAMA
WA PORINI
Corbis/All Over Press
Science Photo Library/Scanpix
1...,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16 18,19,20
Powered by FlippingBook