JINSI YA KUTAMBUA UHALIFU MISITUNI - AFRIKA- Swahili - page 8

8
Gogo la Mwaridi, mti unaoorodheshwa na CITES
kama mojawapo ya spishi zilizo hatarini nchini
Madagascar.
Magogo ya Afrormosia, mti
unaoorodheshwa na CITES kama
mojawapo ya spishi zilizo hatarini
nchini Kongo.
• Ukataji wa spishi zenye thamani ya juu na zilizoorodheshwa katika
CITES (Mapatano ya Biashara ya Kimataifa ya Spishi za Wanyama na
Mimea Pori zilizo Hatarini)
• Hati batili (ikijumuisha kibali cha CITES)
• Magogo haramu ya spishi zilizohifadhiwa, yanayojumuishwa katika ugavi
wa tasnia ya rojo ya mbao.
UVUNAJI HARAMU
!
TAMBUA
Toby Smith/EIA
1,2,3,4,5,6,7 9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,...20
Powered by FlippingBook