JINSI YA KUTAMBUA UHALIFU MISITUNI - AFRIKA- Swahili - page 12

12
Mkaa yakiwa tayari kusafirishwa
nchini Uganda.
Malori yaliyopakiwa mkaa
nchini Uganda.
UZALISHAJI WA MKAA
Kusimamia uzalishaji na biashara ya mkaa ni muhimu sana hasa barani
Afrika. Uzalishaji wa mkaa huenda ukatekelezwa kwa njia ya haramu, na
mapato kutoka kwa biashara hii huenda ya katumiwa kusaidia shughuli
za kihalifu barani Afrika.
Christian Nellemann
1...,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11 13,14,15,16,17,18,19,20
Powered by FlippingBook